Boresha Biashara Yako na PosTech

Mfumo wa kisasa wa POS ulio na uwezo wa kuboresha na kurahisisha mauzo kwa ku scan special QR Codes hivyo kufanya mahesabu ya biashara kiotomatiki.

Kuhusu PosTech

PosTech ni mfumo wa kisasa wa Point-of-Sale uliotengenezwa ili kurahisisha shughuli za biashara hasa mauzo na utunzaji wa taarifa za kibiashara kwa kufanya uchanganuzi wa faida, usimamizi wa mauzo na manunuzi, na shughuli zisizo na mashaka, tunawasaidia wajasiriamali kufanikiwa.

Kwa Nini PosTech?

📊 Uchambuzi Imara

Pata uchanganuzi wa wakati halisi kuhusu mauzo na orodha zako.

💰 Usimamizi wa Mauzo na Gharama

Fuata kila shughuli kwa urahisi.

📦 Usimamizi wa Orodha

Hatutakosa bidhaa tena.

âš¡ Haraka na Salama

Imebuniwa kwa utendaji bora na usalama.

Wasiliana Nasi

Una swali au changamoto? Tupo tayari kukusaidia. Unaweza pia kupiga simu: 0621 031 195

Unaweza pia kututumia barua pepe:huduma@mypostech.store

Au jaza fomu ifuatayo hapa chini: